Commisioning of cherori cattle dip in soy sub-county.

Home / Agriculture / Commisioning of cherori cattle dip in soy sub-county.
Commisioning of cherori cattle dip in soy sub-county.

0l4a9857
Gavana wa Uasin Gishu Jackson Mandago Alhamisi alizindua josho la Cherori katika kaunti ndogo ya Soy.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mandago alisema serikali yake imepunguza ada za kupeleka mifugo kwenye josho hadi sh10 kwa kila ng’ombe.

“Tunataka kuboresha maisha ya wakulima Uasin Gishu,” alisema gavana huku akiwashauri wakulima kutumia vyema mradi wa utoaji mbegu za mifugo kwa gharama ya chini.

“Hii itaongeza kiwango cha maziwa na mtanufaika na mitambo ya kuhifadhi maziwa ambayo sisi kama kaunti tumetengeneza.”

Gavana halikadhalika aliwashauri wenyeji wa Uasin Gishu kukumbatia kilimo biashara kwa kupunguza kiwango cha mifugo ili kuimarisha mazao.

Aidha aliwataka wakulima kujiunga na mashirika ya akiba na mikopo ili wanufaike na miradi mbalimbali ya serikali ya kaunti.

“Tunalenga kupunguza bei ya mbegu ya mahindi na wale watakaokuwa kwenye mashirika ya akiba na mikopo ndio watanufaika,” alisema Mandago.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

F
F
Twitter
UGC_TheChampion on Twitter
Latest Tweet: Together with @lionsclubs and @KeForestService, they planted more than 150 seedlings at Kiplombe Secondary in a pr… https://t.co/7PPSENBCRf
9,094 people follow UGC_TheChampion
Twitter Pic mosesbta Twitter Pic Hamdan_w Twitter Pic LaxzyK Twitter Pic ronick08 Twitter Pic Willie83 Twitter Pic KiptuiNa Twitter Pic SamuelKa Twitter Pic MwangaPr
F